May 12, 2025
0 Comments
باب ما يقوله إِذَا رجع وإذا رأى بلدته
فِيهِ حَدِيثُ ابنِ عمرَ السَّابِقُ في باب تكبيرِ المسافِر إِذَا صَعِدَ الثَّنَايَا
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
177. MLANGO WA ANAYOSEMA MTU ANAPORUDI NA ANAPOUONA MJI WAKE
Humo kuna hadithi ya Ibn Umar iliyotangulia katika mlango wa kupigatakbiri msafiri anapopanda vilima.