0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

176. MLANGO WA SUNNAH YA MTU KUWAENDEA FAMILIA YAKE MCHANA (ANAPOTOKA SAFARINI) NA UKARAHA WA KUWAENDEA USIKU PASINA DHARURA

اب استحباب القدوم عَلَى أهله نهاراً وكراهته في الليل لغير حاجة


“عن جابرٍ رضي اللَّه عنهُ أَنَّ رسولَ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “إِذَا أَطالَ أَحدُكمْ الغَيْبةَ فَلا يطْرُقنَّ أَهْلَهُ لَيْلاً

وفي روايةٍ أَنَّ رَسُول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم نَهى أَنْ يطْرُقَ الرَّجُلُ أَهْلَهُ لَيْلاً.     متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



176. MLANGO WA SUNNAH YA MTU KUWAENDEA FAMILIA YAKE MCHANA (ANAPOTOKA SAFARINI) NA UKARAHA WA KUWAENDEA USIKU PASINA DHARURA


Imepokewa na Jâbir ( Radhi za Allah ziwe juu yake )  ameeleza kuwa Mtume amesema: “Mmoja wenu atakapokuwa safarini kwa mda mrefu, basi asiwajie katu familia yake wakati wa usiku.”

Riwaya nyingine imesema: “Mtume ﷺ amekataza mtu kuwabishia usiku familia yake.”   [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ].


Begin typing your search above and press return to search.