0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

175. MLANGO WA SUNNAH YA MSAFIRI KURUDI HARAKA KWA FAMILIA YAKE ANAPOMALIZA DHARURA ZAKE

 باب استحباب تعجيل المسافر في الرجوع إِلَى أهله إِذَا قضى حاجته


عن أَبي هُرَيْرَةَ رضيَ اللَّه عنهُ أَنَّ رسولَ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “السَّفَرُ قِطْعةٌ مِن العذَابِ، يمْنَعُ أَحدَكم طَعامَهُ، وشَرَابَهُ وَنَوْمَهُ، فَإذَا قَضَى أَحَدُكُمْ نَهْمَتَهُ مِنْ سَفَرِهِ، فَلْيُعَجِّل إِلَى أَهْلِهِ ”       متفقٌ عَلَيْهِ.   “نَهْمَتهُ”: مَقْصُودهُ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



175. MLANGO WA SUNNAH YA MSAFIRI KURUDI HARAKA KWA FAMILIA YAKE ANAPOMALIZA DHARURA ZAKE


Imepokewa na Abû Huraira ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) ameeleza kuwa Mtume amesema: “Safari ni sehemu katika adhabu; mmoja wenu anaacha chakula chake, kinywaji chake na usingizi wake. Basi mmoja wenu atakapomaliza makusudio yake safarini mwake, arudi haraka kwa familia yake.”    [ Wameafikina Bukhari na Muslim ].


Begin typing your search above and press return to search.