0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

174. MLANGO WA ANAYOSEMA ANAPOTEREMKA KATIKA MASHUKIO

باب مَا يقول إِذَا نزل منْزلاً


عن خَولَة بنتِ حكيمٍ رَضي اللَّهُ عنها قالتْ: سمعْتُ رَسُولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يقولُ: “مَنْ نَزلَ مَنزِلاً ثُمَّ قَالَ: أَعُوذُ بِكَلِمات اللَّهِ التَّامَّاتِ مِنْ شَرِّ مَا خَلَقَ، لَمْ يضرَّه شَيْءٌ حتَّى يرْتَحِل مِنْ منزِلِهِ ذلكَ”          رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



174. MLANGO WA ANAYOSEMA ANAPOTEREMKA KATIKA MASHUKIO


Imepokewa na Khawlah binti Hakîm ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesema: “Nilimsikia Mtume akisema: “Atakayeteremkia kwenye mashukio kisha akasema: A‘ûdhu bikalimâtillâhittâmmâti min sharri mâ khalaq [Najilinda kwa Maneno ya Allâh yaliotimia dhidi ya shari ya Alivyoviumba_, hakuna kitakachomdhuru mpaka asafiri kutoka katika mashukio hayo.”    [ Imepokea na Muslim.]


Begin typing your search above and press return to search.