0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

173. MLANGO WA ANACHOKIOMBA ANAPOWACHELEA WATU AU JAMBO FULANI

باب مَا يدعو بِهِ إِذَا خاف ناساً أَوْ غيرهم


عن أَبي موسى الأشعرِيِّ رَضي اللَّه عنهُ أَنَّ رسولَ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم كانَ إِذَا خَافَ قَوماً قَالَ: “اللَّهُمَّ إِنَّا نجعلُكَ في نحورِهِمْ، ونعُوذُ بِك مِنْ شرُوِرِهمْ”    رواه أَبُو داود، والنسائي بإسنادٍ صحيح


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



173. MLANGO WA ANACHOKIOMBA ANAPOWACHELEA WATU AU JAMBO FULANI


Imepokewa na Abû Mûsâ al-Ash‘ary ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesimulia kuwa Mtume alikuwa anapowachelea watu, huomba: “Allâhumma innâ naj‘aluka fî nuhûrihim wana‘ûdhu bika min shurûrihim. [Ewe Mola, hakika sisi twakufanya Uwe katika koo zao, na twajilinda Kwako dhidi ya shari zao].”    [ Imepokewa na Abû Dâwûd na an-Nasâ-î kwa isnadi Sahîh.]


Begin typing your search above and press return to search.