0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

172. MLANGO WA SUNNAH YA KUOMBA DUA SAFARINI

 باب استحباب الدعاء في السفر


 عن أَبي هُرَيْرَةَ رَضيَ اللهُ عنهُ قالَ: قالَ: رسولُ الله صلى الله عليه وسلم: ” ثَلاثُ دَعَوَاتٍ مُسْتجَابَاتٌ لاَ شَكَّ فِيهنَّ: دَعْوَةُ المَظلومِ، وَدَعْوَةُ المسَافِرِ، وَدَعْوَةُ الوَالِدِ عَلى وَلدِهِ ”     رواه أَبُو داود والترمذي وقال: حديث حسن. وليس في رواية أَبي داود: “على ولِدِه”.


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



172. MLANGO WA SUNNAH YA KUOMBA DUA SAFARINI


Imepokewa na Abû Huraira ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesema: “Mtume amesema: “Dua tatu ni zenye kujibiwa hapana shaka ndani yake: dua ya aliedhulumiwa, dua ya msafiri na dua ya mzazi juu ya mwanawe.”    [ Imepokewa na Abû Dâwûd na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan.]


Begin typing your search above and press return to search.