May 1, 2025
0 Comments
باب تكبير المسافر إِذَا صعد الثنايا وشبهها وتسبيحه إذا هبط الأودية ونحوهاوالنهي عن المبالغة برفع الصوتِ بالتكبير ونحوه
عن جابرٍ رضي اللَّه عنهُ قَالَ: كُنَّا إِذا صعِدْنَا كَبَّرْنَا، وإِذا نَزَلْنَا سبَّحْنا. رواه البخاري
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
171. MLANGO WA MSAFIRI KUPIGA TAKBÎR ANAPOPANDA MILIMA NA MFANO WAKE NA KUSABIHI ANAPOTEREMKA KATIKA MABONDE NA MFANO WAKE, NA MAKATAZO YA KUNYANYUA SAUTI KWA TAKBÎR NA MFANO WAKE
Imepokewa na ‘Jâbir ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesema: “Tulikuwa tunapopanda (mlima) tukipiga Takbîr na tunapoteremka tukipiga Tasbîh.” [ Imepokewa na Bukhârî.]