0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

170. MLANGO WA ANAYOSEMA MTU WAKATI ANAPOMPANDA MNYAMA WAKE WA SAFARI

 باب ما يقوله إذا ركب الدابة للسفرِ


قَالَ الله تَعَالَى: {وَجَعَلَ لَكُمْ مِنَ الْفُلْكِ وَالأَنْعَامِ مَا تَرْكَبُونَ لِتَسْتَوُوا عَلَى ظُهُورِهِ ثُمَّ تَذْكُرُوا نِعْمَةَ رَبِّكُمْ إِذَا اسْتَوَيْتُمْ عَلَيْهِ وَتَقُولُوا سُبْحَانَ الَّذِي سَخَّرَ لَنَا هَذَا وَمَا كُنَّا لَهُ مُقْرِنِينَ وَإِنَّا إِلَى رَبِّنَا لَمُنْقَلِبُونَ}    [الزخرف: ١٤,١٢]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



170. MLANGO WA ANAYOSEMA MTU WAKATI ANAPOMPANDA MNYAMA WAKE WA SAFARI


Allâh Amesema: “…na (Allâh) Akawafanyia marikebu na wanyama mnaowapanda. Ili mkae vizuri migongoni mwao, kisha mkumbuke neema za Mola wenu Mlezi mnapokaa sawa sawa juu yao na mseme: Ametakasika Aliyemfanya huyu atutumikie, na tusingeliweza kufanya haya wenyewe. Na hakika sisi tutarudi kwa Mola wetu Mlezi.”  [43:12-14].


Begin typing your search above and press return to search.