April 23, 2025
0 Comments
بابُ إعانةِ الرفيقِ
في الباب أحاديث كثيرة تقدمت كحديث: “والله في عون العبد ماكان العَبْدُ في عَوْنِ أخِيهِ”. وحديث:”كُلُّ مَعْرُوفٍ صدقة”وأشباهها
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
169. MLANGO WA KUMSAIDIA SAHIBA KATIKA SAFARI
Kuna Hadithi nyingi katika mlango huu zilizotangulia, kama Hadithi: (Na Mwenyezi Mungu yuko katika msaada wa mja ilimradi mja yuko katika msaada wa ndugu yake). Na Hadithi: (Kila wema ni sadaka), na nyingine zinazofanana na hizo.
.