April 16, 2025
0 Comments
باب استحباب طلب الرفقة وتأميرهم عَلَى أنفسهم واحداً يطيعونه
عَن ابْنِ عُمَرَ رضِيَ اللَّه عَنْهُما قَالَ: قَالَ رسُولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “لَوْ أَنَّ النَّاسَ يَعْلَمُونَ مِنَ الوحْدةِ مَا أَعَلمُ مَا سَارَ رَاكِبٌ بِلَيْلٍ وحْدَهُ” رواه البخاري
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
167. MLANGO WA SUNNAH YA KUTAFUTA USUHUBA (SAFARINI) NA KUMUEKA KIONGOZI MTU WATAKAYEMTII
Imepokewa kutoka kwa ‘Abdullâh bin ‘Umar ( Radhi za Allah ziwe juu yao ) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Lau watu wangalijua yale yaliomo katika upweke (safarini) yale ninayoyajua, hakuna msafiri yeyote angeweza kusafiri usiku peke yake.” [ Imepokewa na Bukhari]