0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

168. MLANGO WA NIDHAMU ZA MWENDO (SAFARINI), KUTEREMKIA, KULALA SAFARINI, NA SUNNAH YA KUSAFIRI USIKU, KUWATENDEA UPOLE WANYAMA, KUCHUNGA MASLAHI YAO, KUMUAMURU ANAYEKUSURU KATIKA HAKI YAO KUWAPA HAKI ZAO NA KUFAA KUMPANDISHA MTU NYUMA YA MNYAMA IWAPO MNYAMA YULE ATAWEZA KUWABEBA WOTE

باب آداب السير والنزول والمبيت والنوم في السفر واستحباب السُّرَى والرفق بالدواب ومراعاة مصلحتها وجواز الإرداف عَلَى الدابة إِذَا كانت تطيق ذلك وأمر من قصّر في حقها بالقيام بحقها

عن أَبي هُرَيْرَة رضِيَ اللَّهُ عَنْهُ قَالَ: قالَ رَسُولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “إِذَا سافَرْتُم فِي الخِصْبِ فَأعْطُوا الإِبِلَ حظَّهَا مِنَ الأَرْضِ، وإِذا سافَرْتُمْ في الجَدْبِ، فَأَسْرِعُوا عَلَيْهَا السَّيْرَ وَبادروا بِهَا نِقْيَهَا، وَإذا عرَّسْتُم، فَاجتَنِبُوا الطَّريقَ، فَإِنَّهَا طرُقُ الدَّوابِّ، وَمأْوى الهَوامِّ باللَّيْلِ ”    رواه مسلم

شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى

168. MLANGO WA NIDHAMU ZA MWENDO (SAFARINI), KUTEREMKIA, KULALA SAFARINI, NA SUNNAH YA KUSAFIRI USIKU, KUWATENDEA UPOLE WANYAMA, KUCHUNGA MASLAHI YAO, KUMUAMURU ANAYEKUSURU KATIKA HAKI YAO KUWAPA HAKI ZAO NA KUFAA KUMPANDISHA MTU NYUMA YA MNYAMA IWAPO MNYAMA YULE ATAWEZA KUWABEBA WOTE

Imepokewa kutoka Abû Huraira ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesema: “Mtume amesema: “Mnaposafiri katika ardhi yenye rutuba, wapeni ngamia sehemu yao katika ardhi (kwa kuwaacha walishe), na mnaposafiri katika ardhi kame, waharakisheni mwendo na muwapatilize kabla hawajamaliza nguvu zao, na mnapolala usiku, jiepusheni kulala njiani, kwani humo ndio njia za wanyama na ni maskani ya wadudu (na wanyama wanaodhuru) usiku.”    [ Imepokewa na Muslim ]

Begin typing your search above and press return to search.