0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

164. MLANGO WA FADHILA ZA ALIYEFIWA NA WATOTO WADOGO

١٦٤- باب فضل من مات لَهُ أولاد صغار


عن أنس رضي اللَّه عَنْه قَالَ: قَال رَسولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “مَا مِنْ مُسلِمٍ يَمُوتُ لَهُ ثلاثَةٌ لَمْ يَبلُغُوا الحِنْثَ إِلاَّ أدخلَهُ اللَّه الجنَّةَ بِفَضْل رحْمَتِهِ إيَّاهُمْ”.    متفقُ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



164. MLANGO WA FADHILA ZA ALIYEFIWA NA WATOTO WADOGO


Imepokewa kutoka kwa Anas ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesema: “Mtume amesema: “Muislamu yeyote atakayefiwa na watoto watatu ambao hawajafikia umri wa kubaleghe, Allâh Atamwingiza Peponi kwa fadhila ya rehema Yake kuwarehemu wao.”     [ Wameafikiana Bakhari Muslim ].


Begin typing your search above and press return to search.