0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

162. MLANGO WA KUMTOLEA SADAKA MAITI NA KUMUOMBEA DUA

 باب الصدقة عن الميت والدعاء لَهُ


قَالَ الله تَعَالَى: {وَالَّذِينَ جَاءُوا مِنْ بَعْدِهِمْ يَقُولُونَ رَبَّنَا اغْفِرْ لَنَا وَلِإِخْوَانِنَا الَّذِينَ سَبَقُونَا بِالْأِيمَانِ} [الحشر: ١٠]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



162. MLANGO WA KUMTOLEA SADAKA MAITI NA KUMUOMBEA DUA


Mwenyezi Mungu Amesema: “Na waliokuja baada yao wanasema: “Mola wetu! Tusamehe sisi na ndugu zetu waliotutangulia (kufa) katika Uislamu..” [59:10].


Begin typing your search above and press return to search.