0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

324. Riyadhu Swalihina Mlango Wa Kuwafanyia Wema Wazazi Na Kuunga Kizazi (Undugu) 14

باب بر الوالدين وصلة الأرحام


وعن أم المؤمنين ميمونة بنتِ الحارث – رضي الله عنها -: أنَّهَا أعْتَقَتْ وَليدَةً وَلَمْ تَستَأذِنِ النَّبيَّ – صلى الله عليه وسلم -، فَلَمَّا كَانَ يَوْمُهَا الَّذِي يَدُورُ عَلَيْهَا فِيهِ، قَالَتْ: أشَعَرْتَ يَا رَسُول الله، أنِّي أعتَقْتُ وَليدَتِي؟ قَالَ: {أَوَ فَعَلْتِ؟} قَالَتْ: نَعَمْ. قَالَ: {أما إنَّكِ لَوْ أعْطَيْتِهَا أخْوَالَكِ كَانَ أعْظَمَ لأجْرِكِ} مُتَّفَقٌ عَلَيهِ



Imepokewa kutoka kwa Ummulmu-minîn (Mama wa Waumini), Maimûnah binti al-Hârith Radhi za Allah ziwe juu yake amesimulia kuwa yeye alimwacha huru mjakazi wala hakumtaka idhini Mtume Ilipofika siku yake (Mtume kulala kwake), alimwuliza: “Yâ Rasûlallâh, (Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu umejua kuwa nimemwacha huru mjakazi wangu?” Akamwuliza: “Umefanya hivyo?” Akajibu: “Ndio.” Akamwambia: [Ama lau ungaliwapa wajomba zako, ungalipata ujira mkubwa zaidi.”]   [Wameafikiana Bukhari na Muslim]


Begin typing your search above and press return to search.