0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

156. MLANGO WA SUNNAH YA WANAOSWALIA JENEZA KUWA WENGI NA SAFU ZAO KUZIFANYA ZIWE TATU NA KUENDELEA

باب استحباب تكثير المصلين عَلَى الجنازة وجعل صفوفهم ثلاثة فأكثر


 عَنْ عائشةَ رضي اللَّهُ عنها قَالَتْ: قالَ رسولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: ” مَا مِنْ ميِّتٍ يُصلِّي عليهِ أُمَّةٌ مِنَ المُسْلِمِينَ يبلُغُونَ مئَة كُلُّهُم يشْفَعُونَ له إِلا شُفِّعُوا فيه”    رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



156. MLANGO WA SUNNAH YA WANAOSWALIA JENEZA KUWA WENGI NA SAFU ZAO KUZIFANYA ZIWE TATU NA KUENDELEA


Imepokewa na ‘Âisha (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume amesema: “Maiti yeyote atakayeswaliwa na kundi la Waislamu wanaofikia (watu) mia moja, wote wanamuombea, bila shaka watakubaliwa maombi yao.”        [ Imepokelewa na Muslim.]


Begin typing your search above and press return to search.