October 28, 2024
0 Comments
باب استحباب تكثير المصلين عَلَى الجنازة وجعل صفوفهم ثلاثة فأكثر
عَنْ عائشةَ رضي اللَّهُ عنها قَالَتْ: قالَ رسولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: ” مَا مِنْ ميِّتٍ يُصلِّي عليهِ أُمَّةٌ مِنَ المُسْلِمِينَ يبلُغُونَ مئَة كُلُّهُم يشْفَعُونَ له إِلا شُفِّعُوا فيه” رواه مسلم
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
156. MLANGO WA SUNNAH YA WANAOSWALIA JENEZA KUWA WENGI NA SAFU ZAO KUZIFANYA ZIWE TATU NA KUENDELEA
Imepokewa na Âisha (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Maiti yeyote atakayeswaliwa na kundi la Waislamu wanaofikia (watu) mia moja, wote wanamuombea, bila shaka watakubaliwa maombi yao.” [ Imepokewa na Bukhari ]