0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

154. MLANGO WA KUTOYASEMA MAKRUHU YALIYOONEKANA KWA MAITI

باب الكف عما يرى في الميت من مكروه


عن أَبي رافعٍ أَسْلم موْلى رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم أَنَّ رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “مَنْ غَسَّل ميِّتاً فَكَتَمَ عَلَيْه، غَفَرَ اللَّهُ لَهُ أَرْبعِينَ مرَّةً ”     رواه الحاكم وقال: صحيح عَلَى شرط مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



154. MLANGO WA KUTOYASEMA MAKRUHU YALIYOONEKANA KWA MAITI


Imepokewa na Abû Râfi’, Aslam muachwa huru wa Mtume ﷺ amesimulia kuwa Mtume ﷺ amesema: “Atakayemwosha maiti na akaficha (aibu alizonazo), Allâh Atamghufiria mara arubaini.”    [ Imepokea na al-Hâkim ] na amesema: Hadîth hii ni Sahîh kwa sharti ya Muslim.


Begin typing your search above and press return to search.