0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

153. Riyadhu Swalihina Mlango wa kuzihifadhi Amali Hadithi ya 01


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن عمرَ بن الخطاب رضي اللَّه عنه قال : قال رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: « منْ نَامَ عَنْ حِزْبِهِ مِنَ اللَّيْل ، أَو عَنْ شَيْءٍ مِنْهُ فَقَرأَه ما بينَ صلاةِ الْفَجِر وَصـلاةِ الظهرِ ، كُتب لَهُ كأَنما قرأَهُ مِن اللَّيْلِ »   رواه مسلم


Kutoka kwa Umar bin Khatwaab Radhi za Allah ziwe juu yao Amesem: Amesema Mtume  [Atakayelala asisome hizbu (nyiradi) yake ya usiku au chochote katika hizbu yake ya usiku au chochote katika hizbu hiyo, halafu akaisoma baina ya Swala ya alfajiri na Swala ya Adhuhuri, ataandikiwa kama kwamba ameisoma usiku.]     [Imepokewa na Muslim]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.