June 25, 2021
0 Comments
BUSTANI YA WATU WEMA
وعن عمرَ بن الخطاب رضي اللَّه عنه قال : قال رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: « منْ نَامَ عَنْ حِزْبِهِ مِنَ اللَّيْل ، أَو عَنْ شَيْءٍ مِنْهُ فَقَرأَه ما بينَ صلاةِ الْفَجِر وَصـلاةِ الظهرِ ، كُتب لَهُ كأَنما قرأَهُ مِن اللَّيْلِ » رواه مسلم
Kutoka kwa Umar bin Khatwaab Radhi za Allah ziwe juu yao Amesem: Amesema Mtume ﷺ [Atakayelala asisome hizbu (nyiradi) yake ya usiku au chochote katika hizbu yake ya usiku au chochote katika hizbu hiyo, halafu akaisoma baina ya Swala ya alfajiri na Swala ya Adhuhuri, ataandikiwa kama kwamba ameisoma usiku.] [Imepokewa na Muslim]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله