باب جواز البكاء عَلَى الميت بغير ندب وَلاَ نياحة أمَّا النِّيَاحَةُ فَحَرَامٌ
وَسَيَأتِي فِيهَا بَابٌ فِي كِتابِ النَّهْيِ، إنْ شَاءَ اللهُ تعالى. وأما البكاء فجاءت أحاديث كثيرة بِالنَّهْيِ عَنْهُ، وَأنَّ المَيِّتَ يُعَذَّبُ بِبُكَاءِ أهْلِهِ، وَهِيَ مُتَأَوَّلَةٌ ومَحْمُولَةٌ عَلَى مَنْ أوْصَى بِهِ، وَالنَّهْيُ إنَّمَا هُوَ عَن البُكَاءِ الَّذِي فِيهِ نَدْبٌ أَوْ نِيَاحَةٌ والدَّليلُ عَلَى جَوَازِ البُكَاءِ بغير ندب ولا نياحة أحاديث كيثرة مِنْهَا
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
153. MLANGO WA KUFAA KUMLILIA MAITI BILA YA MAOMBOLEZO
Ama kuombolea ni Haramu Na katika kitabu kitakachokuja, kutakuwepo mlango wa katazo, Inshallah.
Ama kuhusu kulia, kuna hadithi nyingi zinazokataza kulia, Ama hadithi inayosema kwamba maiti huadhibiwa kwa kilio cha watu wake, hadithi hizo zinaeleweka na kubeba maana ya wale waliowasihi kufanya hivyo. Katazo linahusu kulia ambako kunahusisha kuomboleza kwa sauti kubwa au kulia kwa kutaja mazuri ya maiti. Dalili ya kuruhusiwa kwa kulia bila kuomboleza kwa sauti kubwa au bila kufanya niliyasi ni hadithi nyingi, miongoni mwao…