0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

152. Riyadhu Swalihina Mlango wa kufanya Ibada kwa kiasi Hadithi ya 11

BUSTANI YA WATU WEMA


وعن ابن عباس رضي اللَّه عنهما قال : بيْنما النَّبِيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يَخْطُبُ إِذَا هُوَ بِرجُلٍ قَائِمٍ ، فسأَلَ عَنْهُ فَقَالُوا : أَبُو إِسْرائيلَ نَذَر أَنْ يَقُومَ فِي الشَّمْس وَلا يقْعُدَ ، ولا يستَظِلَّ ولا يتَكَلَّمَ ، ويصومَ ، فَقالَ النَّبِيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « مُرُوهُ فَلْيَتَكَلَّمْ  وليقعد ولْيَستَظِلَّ ولْيُتِمَّ صوْمَهُ »    رواه البخاري


Kutoka kwa Ibnu Abbas Radhi za Allah ziwe juu yao Amesem: Mtume  alipokuwa ana khutubia, mara akamuona mtu amesimama. Akauliza kuhusu mtu huyo. Akaambiwa kuwa huyo ni Abuu Israaiyl ambaye ameweka nadhiri atasimama katika jua wala hatokaa, wala hatajikinga na kivuli, wala hatazungumza na amefunga. Basi Mtume akasema: [Mwambieni azungumze, na akae chini, na akae kivulini, na atimize Saumu yake.]     [Imepokewa na Bukhari]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.