BUSTANI YA WATU WEMA
وعن ابن عباس رضي اللَّه عنهما قال : بيْنما النَّبِيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يَخْطُبُ إِذَا هُوَ بِرجُلٍ قَائِمٍ ، فسأَلَ عَنْهُ فَقَالُوا : أَبُو إِسْرائيلَ نَذَر أَنْ يَقُومَ فِي الشَّمْس وَلا يقْعُدَ ، ولا يستَظِلَّ ولا يتَكَلَّمَ ، ويصومَ ، فَقالَ النَّبِيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « مُرُوهُ فَلْيَتَكَلَّمْ وليقعد ولْيَستَظِلَّ ولْيُتِمَّ صوْمَهُ » رواه البخاري
Kutoka kwa Ibnu Abbas Radhi za Allah ziwe juu yao Amesem: Mtume ﷺ alipokuwa ana khutubia, mara akamuona mtu amesimama. Akauliza kuhusu mtu huyo. Akaambiwa kuwa huyo ni Abuu Israaiyl ambaye ameweka nadhiri atasimama katika jua wala hatokaa, wala hatajikinga na kivuli, wala hatazungumza na amefunga. Basi Mtume ﷺ akasema: [Mwambieni azungumze, na akae chini, na akae kivulini, na atimize Saumu yake.] [Imepokewa na Bukhari]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله