0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

150. MLANGO WA KUMFUNDISHA ANAYEKARIBIWA NA MAUTI KUSEMA: LÂ ILÂHA ILLALLÂH

باب تلقين المحتضر: لا إله إِلاَّ اللهُ


عن معاذٍ رضي اللَّه عنه قالَ: قَالَ رسُولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “منْ كَانَ آخِرَ كلاَمِهِ لاَ إِلهَ إِلاَّ اللَّه دَخَلَ الجنَّةَ”   رواه أَبُو داود والحاكم وقال: صحيح الإِسناد


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



150. MLANGO WA KUMFUNDISHA ANAYEKARIBIWA NA MAUTI KUSEMA: LÂ ILÂHA ILLALLÂH


Imepokewwa na Mu‘âdh (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Ambaye mwisho wa maneno yake yatakuwa ni Lâ ilâha illallâh (Hakuna mola anayestahiki kuabudiwa kwa haki ispokuwa ni Allâh), ataingia Peponi.”    [ Imepokewa na Abû Dâwûd na Alhâkim na amesema: Isnadi yake ni Sahîh.]


Begin typing your search above and press return to search.