باب جواز قول المريض: أنَا وجع، أَوْ شديد الوجع أَوْ مَوْعُوكٌ أَوْ”وارأساه”ونحو ذلك وبيان أنَّه لا كراهة في ذلك إِذَا لَمْ يكن عَلَى سبيل التسخط وإظهار الجزع
عن ابنِ مسعودٍ رضيَ اللَّه عنه قَالَ: دَخَلتُ عَلى النَّبِيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم وهُو يُوعكُ، فَمسِسْتُه، فقلْتُ: إِنَّكَ لَتُوعَكُ وعْكاً شَديداً، فَقَالَ: “أَجَلْ إِنِّي أُوَعَكُ كَمَا يُوعكُ رَجُلانِ مِنْكُمْ” مُتَّفَقٌ عَلَيهِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
148. MLANGO WA SUNNAH YA KUWAUSIA FAMILIA YA MGONJWA NA ANAYEMHUDUMIKIA KUMTENDEA WEMA, KUMCHUKULIA NA KUMSUBIRIA JUU YA LINALOWATIA MASHAKA KWA SABABU YA MARADHI YAKE, VILEVILE KUMWUSIA AMBAYE SABABU YA MAUTI IMEMFIKIA KWA SABABU YA HADDI (ADHABU), AU KISASI NA MFANO WAKE
Imepokewwa na ‘Abdullâh bin Mas‘ûd (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Nilimwendea Mtume ﷺ naye ana homa. Nikamgusa na nikamwambia: hakika huwa ukishikwa na homa kali.” Akasema: “Ndio, mimi hushikwa na homa kama vile watu wawili miongoni mwenu wanavyoshikwa na homa.”[ Wameafikiana Bukhari na Muslim ]