0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

145. Riyadhu Swalihina Mlango wa kufanya Ibada kwa kiasi Hadithi ya 04


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عن أَبِي هريرة رضي اللَّه عنه النبي صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : «إِنَّ الدِّينَ يُسْرٌ ، ولنْ يشادَّ الدِّينُ إلاَّ غَلَبه فسدِّدُوا وقَارِبُوا وَأَبْشِرُوا ، واسْتعِينُوا بِالْغدْوةِ والرَّوْحةِ وشَيْءٍ مِن الدُّلْجةِ »   رواه البخاري
«وفي رواية له  « سدِّدُوا وقَارِبُوا واغْدوا ورُوحُوا ، وشَيْء مِنَ الدُّلْجةِ ، الْقَصْد الْقصْد تَبْلُغُوا


Kutoka kwa  Abuu Hurayra Radhi za Allah ziwe juu yake kutoka kwa Mtume  Amesema: [Hakika Dini ni nyepesi, wala hakuna atakayetia uzito katika Dini ispokuwa itamshinda, basi fanyeni kwa wastani, na karibieni  katika ukamilifu na toeni bishara njema na ombeni msaada katika nyakati za asubuhi na jioni na baadhi katika nyakati za usiku.]             [Imepokewa na Bukhari]

na katika Riwaya nyingine ya Bukhariy imesema: [Karibieni katika ukamilifu, fanyeni wastani, na wahini  nyakati za asubuhi, jioni na baadhi ya nyakati za usiku, kwa wastani wastani, mtafikia (malengo).]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.