0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

142. MLANGO WA SUNNAH YA KUMWOMBEA DUA ALIEPIGA CHAFYA AKAMHIMIDI ALLÂH, UKARAHA WA KUMWOMBEA DUA IWAPO HAKUMHIMIDI ALLÂH NA UBAINIFU WA ADABU ZA KUOMBEA DUA, KUPIGA CHAFYA NA KWENDA MWAYO

باب استحباب تشميت العاطس إِذَا حمد الله تَعَالَى وكراهة تشميته إذا لَمْ يحمد الله تَعَالَى وبيان آداب التشميت والعطاس والتثاؤب


عن أَبي هريرة رضي الله عنه أن النَّبيّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: ” إنَّ الله يُحِبُّ الُعطاسَ وَيَكْرَهُ التَّثاُؤبَ، فَإذَا عَطَس أحَدكُم وَحَمِدَ الله تَعَالَى كانَ حقَّا عَلَى كُلِّ مُسْلِمٍ سمعهُ أنْ يَقُولَ لَهُ يَرْحَمُكَ اللهُ وأما التّثاوب فَإنَّمَا هُوَ مِنَ الشَّيْطَانِ، فَإذَا تَثَاءبَ أحَدُكُمْ فليردُّهُ مَا اسْتَطَاعَ، فَإنَّ أحَدَكُمْ إِذَا تَثَاءبَ ضَحِكَ مِنْهُ الشَّيْطَانُ”       رواه البخاري


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



142. MLANGO WA SUNNAH YA KUMWOMBEA DUA ALIEPIGA CHAFYA AKAMHIMIDI ALLÂH, UKARAHA WA KUMWOMBEA DUA IWAPO HAKUMHIMIDI ALLÂH NA UBAINIFU WA ADABU ZA KUOMBEA DUA, KUPIGA CHAFYA NA KWENDA MWAYO


Imepokewa Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtume  ﷺ amesema: “Hakika Allâh Anapenda mtu kupiga chafya na Huchukia mtu kwenda mwayo. Atakapopiga chafya mmoja wenu na akamhimidi Allâh, itakuwa ni haki juu ya kila Muislamu aliemsikia amwambie: “Yarhamukallâh (Allâh Akurehemu). Ama kwenda mwayo, jambo hilo linatokana na shetani. Mmoja wenu atakapoenda mwayo, aiurudishe kadiri awezavyo, kwani mmoja wenu anapoenda mwayo, shetani humcheka.” [ Imepokelewa na Bukhari].


Begin typing your search above and press return to search.