0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

14. MLANGO WA KUFANYA IBADA KWA KIASI (WASTANI)

BUSTANI YA WATU WEMA


{قال اللَّه تعالى : {طه  مَا أَنزَلْنَا عَلَيْكَ الْقُرْآنَ لِتَشْقَىٰ

{وقال تعالى : {يُرِيدُ اللَّهُ بِكُمُ الْيُسْرَ وَلَا يُرِيدُ بِكُمُ الْعُسْرَ


Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[T’AHA!Hatukukuteremshia Qur’ani ili upate mashaka.]     [Ta’ha:1-2]

Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Mwenyezi Mungu anakutakieni yaliyo mepesi wala hakutakieni yaliyo mazito]     [Sura Al-Baqara:185]


 شرح مقدمة الباب مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.