0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

139. Riyadhu Swalihina Mlango wa Ubainifu wa Njia nyingi za Kheri Hadithi ya 23


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عَنْ عدِيِّ بنِ حاتِمٍ رضي اللَّه عنه قال : سمِعْتُ النَّبِيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يقول : « اتَّقُوا النار وَلوْ بِشقِّ تَمْرةٍ »   متفقٌ عليه
وفي رواية لهما عنه قال : قال رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « مَا مِنْكُمْ مِنْ أَحَدٍ إِلاَّ سيُكَلِّمُه ربُّه لَيْس بَيْنَهُ وبََينَهُ تَرْجُمَان ، فَينْظُرَ أَيْمنَ مِنْهُ فَلا يَرى إِلاَّ مَا قَدَّم ، وينْظُر أشأمَ مِنْهُ فلا يَرَى إلاَّ ما قَدَّمَ ، وَينْظُر بَيْنَ يدَيْهِ فَلا يَرى إلاَّ النَّارَ تِلْقَاءَ وَجْهِهِ ، فاتَّقُوا النَّارَ ولوْ بِشِقِّ تَمْرةٍ، فَمَنْ لَمْ يَجدْ فَبِكَلِمَة طيِّبَةٍ


Kutoka kwa Abuu ‘Adiyy bin Haatim Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Nilimsikia Mtume ﷺ akisema: [Jikingeni na moto japo kwa kutoa kipande cha tende.]   [Imepokewa na Bukhari na Muslim]

Na katika Riwaya nyingine ya Bukhari na Muslim kutoka kwake (‘Adiyy) amesema: Mtume : [Kila mmoja wenu atazungumza na Mola wake wala hakuna mtarjumani baina yake na Mola wake. Atatazama kuliani mwake, hataona ila alichotenda, atatazama kushotoni mwake, hataona ila alichotenda, atatazama mbele yake, hataona ila Moto mbele yake. Basi ogopeni Moto japo kwa kutoa kipande cha tende. Asiepata, azungumze neno jema.] 


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.