0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

133 KATIKA MAMBO YA KHERI NA ADABU KWA JUMLA

KATIKA MAMBO YA KHERI NA ADABU KWA JUMLA

Ikiingia jioni (yaani jua linapokuchwa wakati wa magharibi) wazuieni watoto wenu kutoka toka kwani mashetani wanatawanyika nyakati hizo, ikisha pita wakati waacheni.   Na fungeni milango yenu  na mtajeni Mwenyezi Mungu  mnapoifunga, kwani shetani hafungui mlango ulio fungwa.  Na fungeni viriba vyenu vya maji, na mtajeni Mwenyezi Mungu.  Na funikeni vyombo vyenu na mtajeni Mwenyezi Mungu (funikeni) hata kama ni kwa kuwekea kitu ju.  Na zimeni taa zenu.     [Imepokewa na Bukhari na Muslim.]

وصلى الله وسلم وبارك على نبينا محمد وعلى آله وأصحابه أجمعين

[Ewe Mwenyezi Mungu mrehemu Muhammad, na wake zake, na kizazi chake, kama ulivyowarehemu jamaa wa Ibrahim. Na mbariki Muhammad, na wake zake, na kizazi chake, kama ulivyowabariki jamaa zake Ibrahim, hakika Wewe Umesifika na Umetukuka.]

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.