باب في آداب المجلس والجليس
عن ابنِ عمر رضي الله عنهما قَالَ: قَالَ رَسُول الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم “لايُقِيِمَنَّ أحَدُكُمْ رَجُلاً مِنْ مَجْلسهِ ثُمَّ يَجْلسُ فِيه ولكِنْ تَوسَعُّوا وتَفَسَّحوا” وَكَان ابنُ عُمَرَ إِذَا قام َ لهُ رَجُلٌ مِنْ مجْلِسه لَمْ يَجِلسْ فِيه. مُتَّفَقٌ عليه
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
129. MLANGO WA NIDHAMU ZA MAJILISI NA ANAYEKETI
Imepokewa na ‘Abdullâh bin ‘Umar (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Yeyote miongoni mwenu asimsimamishe mtu alieketi katika kikao chake kisha akaketi yeye, lakini sogeeni na wekeni nafasi.” [Msimulizi anaeleza:_ ‘Abdullâh bin ‘Umar alikuwa mtu anapomsimamia ili ampishe yeye huwa haketi mahala hapo. [ Wameafikiana Bukhari na Muslim.]