July 21, 2024
0 Comments
باب جواز لبس الحرير لمن بِهِ حِكّة
عن أنسٍ رضي اللَّه عنه قَالَ: رَخَصَ رسُولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم لِلزُّبَيْرِ وعبْد الرَّحْمنِ بنِ عوْفٍ رضي اللَّه عنهما في لبْسِ الحَرِيرِ لحِكَّةٍ بهما. متفقٌ عليه
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
123. MLANGO WA KUJUZISHA KUVAA HARIRI KWA MWENYE MARADHI YA UPELE
Imepokewa na Anas (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ alimruhusu az-Zubair na Abdurrahmân bin Awf (Radhi za Allah ziwe juu yao) kuvaa hariri kwa sababu ya (ugonjwa wa) upele waliokuwa nao.” [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ]