0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

122. MLANGO WA UHARAMU WA KUVAA HARIRI KWA WANAUME NA UHARAMU WA WAO KUKETI JUU YAKE NA KUIEGEMEA, NA KUFAA KUVALIWA NA WANAWAKE

باب تحريم لباس الحرير عَلَى الرجال وتحريم جلوسهم عَلَيْهِ واستنادهم إِلَيْهِ وجواز لبسه للنساء


عن عمر بن الخطَّاب رضيَ اللَّه عنه قَالَ: قالَ رسُولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “لاَ تَلْبَسُوا الحَرِيرَ، فَإنَّ مَنْ لَبِسهُ في الدُّنْيَا لَمْ يَلْبَسْهُ في الآخرةِ.”  متفقٌ عليه


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



122. MLANGO WA UHARAMU WA KUVAA HARIRI KWA WANAUME NA UHARAMU WA WAO KUKETI JUU YAKE NA KUIEGEMEA, NA KUFAA KUVALIWA NA WANAWAKE


Imepokewa na ‘Umar bin al-Khattâb (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Msivae hariri, hakika atakayeivaa duniani hatoivaa Akhira.”   [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ]


Begin typing your search above and press return to search.