0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

12. MLANGO WA KUHIMIZA KUZIDISHA KUTENDA KHERI MWISHO WA UMURI


BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


{قال اللَّه تعالى : {أَوَلَمْ نُعَمِّرْكُم مَّا يَتَذَكَّرُ فِيهِ مَن تَذَكَّرَ وَجَاءَكُمُ النَّذِيرُ

قال ابن عباس والمحققون: معناه: أولم نعمركم ستين سنة، ويؤيده الحديث الذي سنذكره إن شاء اللَّه تعالى

وقيل معناه: ثماني عشرة سنة. وقيل: أربعين سنة. قاله الحسن والكلبي ومسروق، ونقل عنابن عباس أيضاً، ونقلوا أن أهل المدينة كانوا إذا بلغ أحدهم أربعين سنة تفرغ للعبادة

وقيل هو: البلوغ. وقوله تعالى: {وَجَاءَكُمُ النَّذِيرُ}  قال ابن عباس والجمهور: هو النبي صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّم. وقيل: الشيب. قاله عكرمة وابن عيينة وغيرهما،     والله أعلم


Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Kwani hatukukupeni umri wa kutosha kukumbuka mwenye kukumbuka? Na akakujieni Mwonyaji?]     [Suurat Faatír:37]

Amesema ‘Abdullaah bin ‘Abbaas Radhi za Allah ziwe juu yake na ‘Ulamaa wenye tahakiki “Je, hatukuwapa umri wa miaka sitini?” Kauli hii inatiliwa nguvu na Hadithi itakayokuja in shaa Allaah.

Na Kumesemwa kuwa, maana yake ni: Miaka kumi na nane, na pia kumesemwa ni miaka arobaini. Kauli hii imesemwa na Al-Hasan, Al-Kalbiy na Masruwq. Vile vile imenukuliwa kutoka kwa ‘Abdullaah bin ‘Abbaas wakaeleza kuwa: Watu wa Madina ilikuwa mtu akitimiza umri wa miaka arobaini, hujihusisha na ‘Ibaada pekee.

Na kumesemwa ni Mtu kubalighi.Na neno lake [Na akakujieni Mwonyaji?] Amesema Ibu Abbas na Jamhuri ya Wanachuoni kuwa Muojaji katika aya hii ni Mtume ﷺ.

na Kumesemwa na kuota Mvi amesema hayo Ikrima na Ibnu Uyeyna na wengineo. Na Allah ndie mjuzi zaidi.


 شرح مقدمة الباب مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه اللهToa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.