0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1191. Riyadhu Swalihina Mlango wa Fadhila ya kuswali Laylatul-Qadri na kubainisha Masiku yake yanayotarajiwa zaidi


٢١٤- باب فضل قيام ليلة القدْر وبَيان أرجى لياليها


 وعنْ عائِشَةَ رَضِيَ اللَّه عنْهَا، قَالَتْ: كانَ رسُولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يُجاوِرُ في العَشْرِ الأَوَاخِرِ مِنْ رمضَانَ، ويَقُول: “تحَرَّوْا لَيْلَةَ القَدْرِ في العشْرِ الأَوَاخِرِ مِنْ رَمَضانَ”       متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



214. MLANGO WA FADHILA YA KUSWALI LAILATUL-QADRI NA KUBAINISHA MASIKU YAKE YANAYOTARAJIWA ZAIDI


Imepokewa kutaka kwa ‘Âisha ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesema: “Mtume alikuwa akiketi itikafu katika kumi la mwisho la Ramadhani, na akisema: “Itafuteni Lailatulqadri katika kumi la mwisho la Ramadhani.”       [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ].


Begin typing your search above and press return to search.