November 23, 2025
0 Comments
٢١٤- باب فضل قيام ليلة القدْر وبَيان أرجى لياليها
وَعَنْ أَبي هُريرةَ رَضِيَ اللَّه عَنْهُ، عن النَّبِيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “مَنْ قَامَ لَيْلَةَ القَدْرِ إِيماناً واحْتِسَاباً، غُفِر لَهُ مَا تقدَّم مِنْ ذنْبِهِ” متفقٌ عَلَيْهِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
214. MLANGO WA FADHILA YA KUSWALI LAILATUL-QADRI NA KUBAINISHA MASIKU YAKE YANAYOTARAJIWA ZAIDI
Imepokewa kutaka kwa Abû Huraira ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Atakayeswali usiku wa Lailatulqadri (Usiku wenye heshima kuu) kwa kuamini na kutaraji thawabu, atasamehewa dhambi zake zilizotangulia.” [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ].