0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

 1188. Riyadhu Swalihina Mlango wa Sunna ya kuswali Ramadhani Swala ya Tarewehe


٢١٣- باب استحباب قيام رمضان وهو التروايح


عنْ أَبي هُريرةَ رَضِي اللَّه وَعنْهُ رَضِيَ اللَّه عَنْهُ، قَال: كانَ رسُولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يُرَغِّبُ في قِيَامِ رَمَضَانَ مِنْ غيْرِ  أَنْ يَأْمُرَهُمْ فِيه بعزيمةٍ، فيقُولُ: “مَنْ قَامَ رَمَضَانَ إِيماناً واحْتِسَاباً غُفِرَ لَهُ مَا تَقَدَّم مِنْ ذَنْبِهِ”     رواه مُسْلِمٌ.


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



213. MLANGO WA SUNNAH YA KUSWALI RAMADHANI SWALA YA TARAWEHE


Imepokewa kutaka kwa Abû Huraira  ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amesimulia: “Mtume alikuwa akiwahimiza watu kuswali Ramadhani bila ya kuwalazimisha; akiwaambia: “Atakayeswali (Swala ya tarawehe) Ramadhani kwa imani na kutaraji thawabu, atasamehewa dhambi zake zilizotangulia.”

[ Imepokewa na Muslim ].


Begin typing your search above and press return to search.