0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1186. Riyadhu Swalihina Mlango wa fadila ya kuswali Usiku


٢١٢- باب فضل قيام الليل


وَعَنْ أَبي هُرَيرَةَ رَضِي اللَّه عَنْهُ قَالَ: قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “إِذا قَامَ أَحدُكُمْ مِنَ اللَّيْلِ فَاستعجمَ القُرآنُ عَلَى لِسَانِهِ، فَلَم يَدْرِ مَا يقُولُ، فَلْيضْطَجِعْ”     رواه مُسلِمٌ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



213. MLANGO WA FADHILA YA KUSWALI USIKU


Imepokewa kutaka kwa Abû Huraira ( Radhi za Allah ziwe juu yake )  amesema: “Mtume amesema: “Atakaposwali mmoja wenu usiku, akachanganyikiwa kusoma Qur’âni, akawa hajui anachosema, basi alale.”   [ Imepokewa na Muslim ].


Begin typing your search above and press return to search.