November 20, 2025
0 Comments
٢١٢- باب فضل قيام الليل
وعن عائِشة رضِيَ اللَّه عَنْها، أَنَّ النَّبِيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “إِذا نَعَس أَحَدُكُمْ في الصَّلاةِ، فَلْيَرْقُدْ حَتَّى يَذهَب عَنْهُ النَّومُ، فَإِنَّ أَحدكُمْ إِذَا صَلى وَهُوَ ناعِسٌ، لَعَلَّهُ يَذهَبُ يَستَغفِرُ فَيَسُبَّ نَفسهُ ” متفقٌ عليهِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
213. MLANGO WA FADHILA YA KUSWALI USIKU
Imepokewa kutaka kwa ‘Âisha ( Radhi za Allah ziwe juu yao ) amesimulia: “Mtume ﷺ amesema: “Mmoja wenu anapotaka kuswali naye anasinzia, basi alale mpaka usingizi utakapomuisha, kwani mmoja wenu atakaposwali naye anasinzia hajui pengine atataka kuomba istighfari na akajiapiza (kwa sababu ya usingizi).” [ Wameaikiana Bukhari na Muslim ].