0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1184. Riyadhu Swalihina Mlango wa fadila ya kuswali Usiku


٢١٢- باب فضل قيام الليل


وعَنْ أَبي هُريرة رَضِيَ اللَّه عنْهُ وَعنْ أَبي سَعيدٍ رَضِي اللَّه عنهمَا، قَالا: قالَ رسولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “إِذَا أَيقَظَ الرَّجُلُ أَهْلَهُ مِنَ اللَّيْل فَصَلَّيا أَوْ صَلَّى ركْعَتَينِ جَمِيعاً، كُتِبَا في الذَّاكرِينَ وَالذَّكِراتِ ”    رواه أَبُو داود بإِسناد صحيحٍ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



213. MLANGO WA FADHILA YA KUSWALI USIKU


Imepokewa kutaka kwa Abû Huraira na Abû Sa‘îd ( Radhi za Allah ziwe juu yao ) wamesema: “Mtume   amesema: “Mwanamume atakapomwamsha mkewe usiku na wakaswali” – au – “wote wakaswali rakaa mbili, wataandikwa ni miongoni mwa wenye kumtaja Allâh kwa wingi miongoni mwa wanaume na wanawake.”       [ Imepokewa na Abû Dâwûd, isnadi yake ni Sahîh. ].


Begin typing your search above and press return to search.