٢١٢- باب فضل قيام الليل
وعَنْ أَبي هُريرة رَضِيَ اللَّه عنْهُ، قَالَ: قالَ رسُولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “رحِمَ اللَّه رَجُلا قَامَ مِنَ اللَّيْلِ، فصلىَّ وأيْقَظَ امرأَتهُ، فإنْ أَبَتْ نَضحَ في وجْهِهَا الماءَ، رَحِمَ اللَّهُ امَرَأَةً قَامت مِن اللَّيْلِ فَصلَّتْ، وأَيْقَظَتْ زَوْجَهَا فإِن أَبي نَضَحَتْ فِي وجْهِهِ الماءَ” رواهُ أَبُو داود. بإِسنادِ صحيحٍ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
213. MLANGO WA FADHILA YA KUSWALI USIKU
Imepokewa kutaka kwa Abû Huraira ( Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Allâh Amrehemu mtu aliyeinuka usiku akaswali na akamwamsha mkewe, akikataa akamnyunyizia maji usoni mwake. Allâh Amrehemu mwanamke aliyeinuka usiku akaswali, na akamwamsha mumewe, akikataa akamnyunyizia maji usoni mwake.” [ Imepokewa na Abû Dâwûd, isnadi yake ni Sahîh. ].