November 18, 2025
0 Comments
٢١٢- باب فضل قيام الليل
وعنْ عُمَرَ بنِ الخَطَّابِ رَضِي اللَّه عنْهُ، قَال: قَالَ رسُولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “مَنْ نَام عَنْ حِزْبِهِ، أَوْ عَنْ شْيءٍ مِنهُ، فَقَرأهُ فِيما بينَ صَلاِةَ الفَجْرِ وصَلاةِ الظُّهْرِ، كُتِب لهُ كأَنَّما قَرَأَهُ منَ اللَّيْلِ” رواه مسلم
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
213. MLANGO WA FADHILA YA KUSWALI USIKU
Imepokewa kutaka kwa Umar bin al-Khattâb ( Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Atakayelala asisome hizbu yake ya usiku au chochote katika hizbu hiyo, halafu akaisoma baina ya Swala ya alfajiri na Swala ya adhuhuri, ataandikiwa kana kwamba ameisoma usiku.” [ Imepokewa na Muslim ].