November 18, 2025
0 Comments
٢١٢- باب فضل قيام الليل
وَعَنْ عَائِشَةَ، رَضِيَ اللَّه عَنْها، رضِي اللَّه عنْهَا، قالَتْ: كَانَ رسولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم إِذا فاتتْهُ الصَّلاةُ مِنَ اللَّيل مِنْ وجعٍ أَوْ غيرِهِ، صَلَّى مِنَ النَّهارِ ثِنَتي عشَرة ركْعَة. رواه مسلِم
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
213. MLANGO WA FADHILA YA KUSWALI USIKU
Imepokewa kutaka kwa ‘Âisha ( Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: : “Mtume ﷺ alikuwa anapopitwa na Swala ya usiku kwa sababu ya maradhi au jambo lingine, huswali – wakati wa mchana – rakaa kumi na mbili.” [ Imepokewa na Muslim ].