0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1180. Riyadhu Swalihina Mlango wa fadila ya kuswali Usiku


٢١٢- باب فضل قيام الليل


وَعَنْ عَائِشَةَ، رَضِيَ اللَّه عَنْها، قالت: كانَ رَسُولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم إِذا قام مِن اللَّيْلِ ليصلي افتَتَحَ صَلاتَهُ بِرَكْعَتَيْن خَفيفَتَيْنِ،      رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



213. MLANGO WA FADHILA YA KUSWALI USIKU


Imepokewa kutaka kwa ‘Âisha ( Radhi za Allah ziwe juu yake)  amesimulia: “Mtume alikuwa anaposwali usiku, hufungua Swala yake kwa rakaa mbili hafifu.”      [ Imepokewa na Muslim ].


Begin typing your search above and press return to search.