0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1179. Riyadhu Swalihina Mlango wa fadila ya kuswali Usiku


٢١٢- باب فضل قيام الليل


وَعَنْ أَبي هُريرَةَ رَضِي اللَّه عَنْهُ، أَنَّ النَّبِيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “إِذا قَامَ أَحَدُكُمِ مِنَ اللَّيْلِ فَليَفتَتحِ الصَّلاةَ بِركعَتَيْن خَفيفتيْنِ”      رواهُ مسلِم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



213. MLANGO WA FADHILA YA KUSWALI USIKU


Imepokewa kutaka kwa Abû Huraira ( Radhi za Allah ziwe juu yao) amesimulia: “Mtume   amesema: “Mmoja wenu anaposwali usiku, basi aifungue Swala kwa rakaa mbili hafifu.”      [ Imepokewa na Muslim ].


Begin typing your search above and press return to search.