0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1178. Riyadhu Swalihina Mlango wa fadila ya kuswali Usiku


٢١٢- باب فضل قيام الليل


وَعَنْ جَابِرٍ رَضِيَ اللَّه عنْهُ قَالَ: سمِعْتُ رَسُولَ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يقُولُ: “إِنَّ في اللَّيْلِ لَسَاعةً، لاَ يُوافقُهَا رَجلٌ مُسلِمٌ يسأَلُ اللَّه تَعَالَى خَيْراً مِنْ أمرِ الدُّنيا وَالآخِرِةَ إِلاَّ أَعْطاهُ إِيَّاهُ، وَذلكَ كلَّ لَيْلَةٍ”      رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



213. MLANGO WA FADHILA YA KUSWALI USIKU


Imepokewa kutaka kwa Jâbir ( Radhi za Allah ziwe juu yao) amesema: “Nilimsikia Mtume akisema: “Hakika katika usiku muna saa ambayo, hakuna mja yeyote Muislamu atakayeiafiki akimuomba Allâh Mtukufu kheri yoyote katika jambo la dunia au Akhira, ispokuwa Allâh Atampa kheri hiyo; hali hiyo ni kila usiku.”      [ Imepokewa na Muslim ].


Begin typing your search above and press return to search.