0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1177. Riyadhu Swalihina Mlango wa fadila ya kuswali Usiku


٢١٢- باب فضل قيام الليل


وَعَنْ عبدِ اللَّهِ بنِ عَمْرو بنِ العَاصِ، رَضيَ اللَّه عَنْهُمَا أَنَّ رَسُولَ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “أَحَبُّ الصَّلاةِ إِلَى اللَّهِ صَلاةُ دَاوُدَ، وَأَحبُّ الصيامِ إِلَى اللَّهِ صِيامُ دَاوُدَ، كانَ يَنَامُ نِصْفَ اللَّيْل وَيَقُومُ ثُلُثَهُ ويَنَامُ سُدُسَهُ وَيصومُ يَوماً وَيُفطِرُ يَوماً”     متفقٌ عليه


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



213. MLANGO WA FADHILA YA KUSWALI USIKU


Imepokewa kutaka kwa ‘Abdullâh bin ‘Amri bin al-‘Âs ( Radhi za Allah ziwe juu yao) amesimulia: “Mtume amesema: “Swala ipendezayo zaidi kwa Allâh ni Swala ya (Nabii) Dâwûd, na Saumu ipendezayo zaidi kwa Allâh ni saumu ya (Nabii) Dâwûd, alikuwa akilala nusu ya usiku, akiswali thuluthi yake na akilala sudusi yake, na alikuwa akifunga siku moja na akila siku moja.”    [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ].


Begin typing your search above and press return to search.