0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1176. Riyadhu Swalihina Mlango wa fadila ya kuswali Usiku


٢١٢- باب فضل قيام الليل


 وَعَنْ جابرٍ رضِي اللَّه عنْهُ قَالَ: سُئِلَ رَسُولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: أَيُّ الصَّلاةِ أَفْضَلُ؟ قَالَ:”طُولُ القُنُوتِ”.  رواه مسلم

المرادُ بِالقنُوتِ: القِيَامُ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



213. MLANGO WA FADHILA YA KUSWALI USIKU


Imepokewa kutaka kwa Jâbir ( Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume aliulizwa: “Ni Swala gani ilio bora zaidi?” Akajibu: “Ni yenye kisimamo kirefu.”     [ Imepokewa na Muslim ].


Begin typing your search above and press return to search.