November 16, 2025
0 Comments
٢١٢- باب فضل قيام الليل
وعَن ابنِ مَسْعُودٍ رضِي اللَّه عَنْهُ، قَالَ: صلَّيْتُ مَعَ النَّبِيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم لَيُلَةً، فَلَمْ يَزلْ قائِماً حَتَّى هَمَمْتُ بِأَمْرٍ سُوءٍ. قَيل: مَا هَممْت؟ قَالَ: هَممْتُ أَنْ أَجْلِس وَأَدعهُ. متفقٌ عَلَيْهِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
213. MLANGO WA FADHILA YA KUSWALI USIKU
Imepokewa kutaka kwa ‘Abdullâh bin Mas‘ûd ( Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Usiku mmoja Niliswali pamoja na Mtume ﷺ , akasimama kisimamo kirefu hata nikafikiria kufanya jambo baya!” Akaulizwa: “Kwani ulifikiria nini?” Akajibu: “Nilifikiria niketi na nimwache (aendelee kuswali).” [ Wameafikiana Bukhârî na Muslim ].