November 16, 2025
0 Comments
٢١٢- باب فضل قيام الليل
وعَنْ عائِشة رضي اللَّه عنْهَا أَنَّ النَّبِيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم كانَ يَنَامُ أَوَّل اللَّيْل، ويقومُ آخِرهُ فَيُصلي. متفقٌ عَلَيْهِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
213. MLANGO WA FADHILA YA KUSWALI USIKU
Imepokewa kutaka kwa ‘Âisha ( Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: : “Mtume ﷺ alikuwa akilala mwanzo wa usiku na akiamka mwisho wake akiswali.” [ Wameafikiana Bukhârî na Muslim ].