0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1172. Riyadhu Swalihina Mlango wa fadila ya kuswali Usiku


٢١٢- باب فضل قيام الليل


 وعَنْ عائِشة رضي اللَّه عنْهَا قَالَتْ: مَا كَانَ رسُولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يَزِيدُ في رمضانَ وَلا في غَيْرِهِ عَلى إِحْدى عشرةَ رَكْعَةً: يُصلِّي أَرْبعاً فَلا تَسْأَلْ عَنْ حُسْنِهِنَّ وَطولهِنَّ، ثُمَّ يُصَلِّي أَرْبعاً فَلا تَسْأَلْ عَنْ حُسْنِهِنَّ وَطولهِنَّ، ثُمَّ يُصَلِّي ثَلاثاً. فَقُلْتُ: يَا رسُولَ اللَّهِ أَتنَامُ قَبْلَ أَنْ تُوترَ،؟ فَقَالَ: “يَا عائشةُ إِنَّ عيْنَيَّ تَنامانِ وَلا يَنامُ قَلْبِي ”     متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



213. MLANGO WA FADHILA YA KUSWALI USIKU


Imepokewa kutaka kwa ‘Âisha ( Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: : “Mtume hakuwa akizidisha – si katika Ramadhani wala katika mwezi mwingine wowote – zaidi ya rakaa kumi na moja; alikuwa akiswali rakaa nne, basi usiulize uzuri na urefu wake! Kisha akiswali rakaa nne, basi usiulize uzuri na urefu wake! Kisha akiswali rakaa tatu. Nikamwuliza: “Yâ Rasûlallâh, walala kabla hujaswali Witri?” Akajibu: “Ee ‘Âisha, hakika macho yangu yanalala moyo wangu haulali.”   [ Wameafikiana  Bukhârî na Muslim ].


Begin typing your search above and press return to search.